kaka mbona umenifanyia hivyo mpaka yule mwindi ananiona tapel bwana mi iringa nilisha ondoka nimerudi dar na bro sijapata bahati ya kuonana naye bwana,sas sijui michakato yetu itakuwaje now nipo free nikifikiria cha kufanya kwanza so nipo tu hom na naom wangu tunaendeleza libeneke bwana
anakupa salaam nyingi sana